RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa
Serikali ,baada ya kuwasili katika viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja, kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Barani Afrika,iliyoadhimishwa leo
11-7-2024, katika ukumbi wa Nyamazi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa
Nyamazi ,kwa ajili ya hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Mapambano ya Dhidi ya
Rushwa Barani Afrika, iliyoadhimishwa leo 11-7-2024, na (kushoto kwa Rais)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa
Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora
Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali.

WASANII wa Kikundi cha Chuo cha Mafunzo Zanzibar
wakitowa burudani ya ngoma ya Kibati wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya
Mapambano Dhidi ya Rushwa Barani Afrika, iliyoadhimishwa leo 11-7-2024, katika
ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia utenzi maalumu wa Maadhimisho
ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Barani Afrika, ukisomwa na Mwanafunzi
Yusra Makame, wakati wa hafa hiyo ya maadhimisho iliyofanyika katika ukumbi wa
Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 11-7-2024 na (kushoto kwa Rais)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar
Mhe. Haroun Ali Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali
wakifuatilia burudani ya ngoma ya Kibati, wakati wa hafla ya Maadhimishi ya
Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Barani Afrika, iliyoadhimishwa leo 11-7-2024,
katika ukumbi wa Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya Saa kwa
mchango wake katika kupambana Dhidi ya Rushwa Zanzibar, na Mkurugenzi Mkuu wa
(ZAECA) Ali Abdalla Ali, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Mapambano
Dhidi ya Rushwa Barani Afrika iliyoadhimishwa leo 11-7-2024, katika ukumbi wa
mikutano wa Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku Mapambano Dhidi
ya Rushwa Barani Afrika, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano Nyamazi Wilaya
ya Magharibi “B” Unguja leo 11-7-2024.
BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya
Maadhimisho ya Siku ya Mapambano ya Dhidi ya Rushwa Barani Afrika,
iliyoadhimishwa leo 11-7-2024, katika ukumbi wa viwanja vya Maonesho Nyamazi
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Taasisi za
Serikali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya
Maadhimisho ya Siku ya Mapambano ya Dhidi ya Rushwa Barani Afrika,
iliyoadhimishwa leo 11-7-2024, katika ukumbi wa viwanja vya Maonesho Nyamazi
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari
Unguja wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya
Maadhimisho ya Siku ya Mapambano ya Dhidi ya Rushwa Barani Afrika,
iliyoadhimishwa leo 11-7-2024, katika ukumbi wa viwanja vya Maonesho Nyamazi
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Taasisi za
Serikali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya
Maadhimisho ya Siku ya Mapambano ya Dhidi ya Rushwa Barani Afrika,
iliyoadhimishwa leo 11-7-2024, katika ukumbi wa viwanja vya Maonesho Nyamazi
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla baada ya kumalizika kwa hafla ya
Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Barani Afrika, iliyoadhimishwa
leo 11-7-2024, katika ukumbi wa mikutano Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
No comments:
Post a Comment