Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azungumxza na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na  kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Rita Kabati. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na  kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana  na  Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na  kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala,  baada ya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma, Septemba 5, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika hilo, Adam Juma, wa pili kulia ni  Mkurugenzi Msaidizi, Paulo Mfuko na wa tatu kulia ni  Bruna  Fernan ambye ni Mwanzilishi wa Shirika hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.