Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan Aomboleza Kifo cha Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Ndugulile Kabla ya Kuaza Kikao Kazi Jijini Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile aliyefariki dunia nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu, wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu ndogo Arusha tarehe 29 Novemba, 2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.