Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwnyi Amekutana na Kuzungumza na Madaktari Bingwa na Wataalam wa Mapambano ya Maradhi Yasioambukiza Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Madaktari Bingwa na Wataalamu wa Mapambano ya Maradhi yasio ya kuambukiza kutoka Geneva Uswisi, ukiongozwa na Mkurugenzi wa UNITAR Mr. Mukul Bhola (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa na Wataalamu wa Mapambano ya Maradhi yasio ya kuambukiza kutoka Geneva Uswisi,ukiongozwa na Mkurugenzi wa UNITAR Mr. Mukul Bhola (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.

Ujumbe wa Madaktari Bingwa na Wataalamu wa Mapambano ya Maradhi yasio ya kuambukiza kutoka Geneva Uswisi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari Bingwa na Wataalamu wa Mapambano ya Maradhi yasio ya kuambukiza kutoka Geneva Uswisi, Mkurugenzi wa UNITAR Mr. Mukul Bhola baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-11-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe..Nassor Ahmed Mazrui.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.