Habari za Punde

Watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Wapatiwa Mafunzo kwa Vitendo

Watendaji wa uboreshaji ngazi ya Mkoa kwa Mkoa wa Mtwara wakishiriki katika mafunzo ya vitendo ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo linataraji kufanyika mkoani humo kuanzia Januari 28,2025 hadi Februari 03, 2025 katika maeneo yote ya mkoa huo, Mkoa wa Lindi pamoja na Halmashauri za Madaba, Namtumbo na Tunduru kwa Mkoa wa Ruvuma. (Picha na INEC). 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.