Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, bungeni jijini Dodoma, Februari 6, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Makambako, Deo Sanga, Bungeni jijini Dodoma, Februari 6, 2025.
Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, bungeni jijini Dodoma, Februari 6, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo katika mazungumzo na Mbunge wa Manonga, Seif Khamis Gulamali kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo (katikati) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo, Severin Mushi (kulia) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Nabu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Cosato Chumi na wageni wake Bw. Maulid Twaha (kulia) na Juvenaly Mutafungwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 6, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment