Habari za Punde

WAZIRI MKUU ASHIRIKI BUNGE BONANZA JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika mazoezi ya pamoja kwenye Tamasha la Michezo la Bunge Bonanza, lililofanyika katika viwanja vya John Merlin Sekondari jijini Dodoma. Februari 2. 2025







Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, wakati aliposhiriki katika mazoezi ya pamoja kwenye Tamasha la Michezo la Bunge Bonanza, lililofanyika katika viwanja vya John Merlin Sekondari  jijini Dodoma. Februari 2. 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)










 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.