Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Kwanza Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kwa ajili ya kufunga Ziara Maalumu ya Mabalozi " Diplomatic Safari and Tour" wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki Balozi Said Said Mussa , akizungumza na kuttowa maelezo ya Ziara Maalumu ya Mabalozi Wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania "Diplomatic Safari and Tour, kutembelea vyanzo vya Utalii Nchini Tanzania, wakati wa hafla ya ufungaji wa ziara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Kwanza Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia wakati wa hafla ya
ufungaji wa ziara Maalumu ya Mabalozi
wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania “Diplomatic Safari and Tour”,kutembelea
Vivutio vya Utalii Tanzania Bara na Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Kwanza Kizimkazi Mkoa wa
Kusini Unguja.
No comments:
Post a Comment