Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaina na viongozi walipowasili kwenye hoteli ya Serena jijini Dar eś salaam kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya utoaji tuzo za elimu za Mufti, Septemba 20, 2025. Kutoka kushoto ni Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt Abubakar Zubeir bin Ally, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, Katibu Mkuu wa Baraza la Waislaam Tanzania (BAKWATA), Alhaji Nuhu Mruma, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally akizungunmza katika hafla ya utoaji tuzo za elimu za Mufti iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar eś salaam , Septemba 20, 2025. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla hiyo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha ya tuzo ya elimu ya Mufti aliyoipokea kwa naiba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hafla ya utoaji tuzo za elimu za Mufti iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar eś salaam , Septemba 20, 2025 . Kushoto ni Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zibeir bin Ally.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya utoaji tuzo za elimu za Mufti iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar eś salaam , Septemba 20, 2025. Alimwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Suluhu Hassan katika hafla hiyo
Washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika hafla ya utoaji tuzo za elimu za Mufti iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar eś salaam , Septemba 20, 2025. Alimwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika hafla hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maandalizi ya hafla ya utoaji tuzo za elimu za Mufti iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar eś salaam , Septemba 20, 2025. Alimwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika hafla hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment