
Mgombea Urais kupitia tiketi ya CUF , Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhiwa fomu ya kugombea Urais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Khatib Mwinyichande.

Katibu Mkuu wa CUF na mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif, akiongea na Waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar leo ambapo aliainisha vipaumbele vyake katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa atakayoiongoza pindipo akichaguliwa.
0 Comments