Wananchi wa Magomeni Jitini wakiitaka taasisi husika na mazingira kuona kero yao hii ya moja ya muembe wa siku nyingi katika barabara ya magomeni ukiwa umekauka na kuwa tishio kwa watumiaji wa barabara hiyo, wanataka kuchukuliwa hatuwa ya kuukata kabla ya kuleta madhara.
SERIKALI KUIFUNGUA PEMBA KIUTALII
-
Na. Mwandishi wetu, Pemba
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Mh. Hamad Hassan Chande (Mb),
amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
6 hours ago
0 Comments