Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013 kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu. Picha na OMR
TBN : Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network, Beda Msimbe Atoa Salamu za
Mwaka Mpya 2026
-
Ndugu Wasomaji na Watumiaji wa Blogu Tanzania.
Tunapouaga mwaka 2025, nachukua fursa hii, kwa niaba ya wanachama wote wa
Tanzania Bloggers Network (TBN)...
2 hours ago

2 Comments
Kama ni uungwana nadhani ilikuwa na kwa Makamo wa Rais kwenda kumjuulia hali Absalom Kibanda na si kinyume chake.
ReplyDeleteKwa uungwana afanye kazizake kwa uadilifu vyombo vya habari ni macho ya jamii inotaka kujikomboa
ReplyDelete