Wanafunzi wa Madras wakijibu maswali ya Dini yanayoulizwa kupitia kipindi maalum cha Redio Zanzibar ZBC Redio hufanyka kilia mwaka katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhaani=, wakiwa jirani na redio hiyo rahaleo wakikamilisha maswali hayo na kukabidhi sehemu husika.
RC TANGA AWATAKA WALIOPANGA KUCHOMA MATAIRI MKESHA WA MWAKA MPYA WASITHUBUTU
-
Na Oscar Assenga, TANGA
MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi,Dkt Batilda Burian amewataka wananchi wa mkoa
wa Tanga ambao wamepanga kutumia matairi kuchoma moto...
5 hours ago
0 Comments