Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Hamad akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar,Sheikh Saleh Salum, alipofika Osini kwake migombani kujitambulisha kwa Makamo wa Kwanza. wa Rais wa Zanzibar kwa kuanza kazi hivi karibuni katika ofisi ya Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR)
NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS -UTUMISHI ATOA RAI KWA WANANCHI ARUMERU KUILINDA
MIRADI YA TASAF
-
Na Mwandishi Wetu,Arusha.
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-Utumishi, Regina Qwaray,amewataka wananchi wa
Wilaya ya Arumeru walionufaika na miradi iliyojengwa na ...
1 hour ago
1 Comments
Du! NIMEPENDA HII YAANI WIZI WAZI WAZI WALA HAWAOGOPI HII INAONYESHA FIKA KUWA KUWA KIGOGO ANAWALINDA KWA KIASI FULANI.
ReplyDelete