6/recent/ticker-posts

Harakati Mlandege hizyoo..


Harakati za kila siku katika mtaa wa mlandege enzi za nyuma mtaa huu uliokuwa na harakati kubwa na msongamano wa wananchi, elipokuwa pakiuzwa mitumba na mtaa huu uliokuwa maarufu kwa biashara hiyo na asili ya kuuzwa mitumba Zanzibar, na hatimai Taasisi husika kufanikiwa kuwahamisha wafanyabiashara ya Mitumba na kuwahamisha eneo la saateni kwa ajili ya kufanya biashara hiyo hadi leo na eneo hili kuwa wazi kama linavyonekana pichani.Mdau. 

Post a Comment

0 Comments