6/recent/ticker-posts

Mdau mambo ya Matumizi ya Barabara Zenj...



 Matumizi ya barabara ya mji mkongwe maeneo ya shangani Zanzibar, Barabara ya shangani posta imekuwa ni ya njia moja tu, ya matumizi ya kwenda tu kutoka posta shangani kwenda barabara ya Vuga Mnazi mmoja, lakini kuwa Watumiaji wa barabara katika maeneo ya Mji Mkongwe hukiuka matumizi hayo kwa kutumia barabara hiyo kinyume na matumizi yake yaliowekwa kwa sababu ya kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo.  

Post a Comment

0 Comments