Wachezaji wa timu ya Fufuni S C na Malindi wakiwania mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Malindi imeshinda 2--1
Kipato kina jeuri kama wanavyooneka wachezaji wa timu ya Malindi wakifanya mazoezi baada ya mchezo wao wa ligi Kuu ya Grand Malt kumalizika kwa ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya timu ya Fufuni SC kutoka Pemba.
0 Comments