6/recent/ticker-posts

Tuna mengi ya kujifunza na kuzingatia katika tukio la Ugaidi lililotokea nchi Kenya


Post a Comment

1 Comments

  1. A alleikum
    La kujiuliza tumesoma?,je haya yametokea kwa sababu gani?,Jee ulimwengu Huu tunaokwenda kweli haki inatendeka au mwenye nguvu mpishe?,la kujiuliza Kubwa wapi tunakwenda wapi?.
    Kila mmoja anasikitishwa .
    Watu wasio na hatia wakiuwawa,mimi binafsi inanisikitisha,lakini tuwalaumu nani?,tunawalaumu wote wanohusika?,tunawahukumu wote wanohusika?,miezi ya nyuma niliona kwenye habari majeshi ya Kenya kwa kutumia ndege walipiga nyumba za raia na Kuuwa watoto,wazee wasiokuwa na hatia,yote hayo ni kumfurahisha anaetwa mkuu Wa kuuamua mambo ya ulimwengu kwa Wakati huu mmarekani.yeye Huyu ndo kazidi inasemekana,keshauwa kwa kutumia ndege zip kutumia remote akiwa marekani,akihisi yeye hubahatisha,anabonyeza button,anauwa watoto,wazee,wanawake wasio na hatia,inasemekana marekani keshauwa zaidi ya watu 5000 wasio na hatia,katka pakistani,Somalia,Yemen,pakistani,afghanistani,Iraq nakadhalika,je Hawa ni kuku au binaadamu.la kujiuliza ni kwanini.
    Au Kusaini na kumpa haki ya kutumia Hizo drones kwa raha zake na kuuwa raia wasio na hatia,kwa nini afrika ielekwezwe nini cha kuuamua na marekani?.umoja wa mataifa umepoteza mwelekeo wake katika kuamua haki,ukiwa umeweka zaidi maslahi yake kisiasa na udini.
    Tusiangalie matokeo ya westward tu tujiulize tumesoma nini?.
    Marekani ,Kenya,alshabab ,boko haramu nani wa kulaumiwa?
    La zaidi mwenzako akinyolewa wewe Tia maji.
    Mpenda haki na amani

    ReplyDelete