6/recent/ticker-posts

Wanafunzi Wakiwa katika ziara ya Kimasomo.

Wanafunzi wa skuli ya msingi Zanzibar wakiwa katika ziara ya kimasoma katika Ofisi za Gazeti la Zanzibar Leo Rahaleo,kujionea jinsi ya utayarishaji wa gazeti hilo. Wakiwa katika chumba cha kutayarisha gazeti wakimuangalia mfanyakazi wa chumba cha  page maker (peji meka)   

Post a Comment

0 Comments