6/recent/ticker-posts

Dk Shein afanya mazungumzo na Profesa Steiner wa Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Norway, baada ya
mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na  Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway,baada ya
mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
 
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Post a Comment

0 Comments