6/recent/ticker-posts

Ligi Daraja la Pili Wilaya ya Mjini Kilimani Star na Amani Fresh, imeshinda 2--1

 Mchezaji wa timu ya Amani Fresh Juma Haji, akimpita beki wa timu ya Kilimani Star Abdalla Ali.

 Mshambuliaji wa timu ya Kilimani Star akimpita beki wa timu ya Amani Fresh.

 Wachezaji na Viongozi wa timu ya Kilimani Stara wakifuatilia mchezo huo wakiwa hawaamini macho yao baada ya kufungwa na timu ya Amani Fresh, katika mchezo wa ligi daraja la Pili Wilaya ua Mjini.



 Mshambuliaji wa timu ya Kilimanin Star, Rajab Saleh, akimpita bekin wa timu ya Amani Frsh Mtumwa Mussa, katika mchezo wa ligi daraja la Pili Wilaya ya Mjini, Amani Fresh imeshinda 2--1
 Wadau wa mchezo wa Soka Zenj ambao hawapiti na mchezo huu wakiwa katika maskani yao wakifuatilia mchezo huo na kushangilia timu ambayo inashinda tu ndio timu yao wanayoshangiria katika uwanja huo.
Viongozi na Wachezaji wa benchi la timu ya Amani Fresh wakifuatilia mchezo wao na timu ya Kilimani Star, uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Amani Fresh imeshinda 2--1.

Post a Comment

0 Comments