6/recent/ticker-posts

Benki ya Diamond Trust Bank Tawi la Zanzibar Yafutarisha Wateja Wake Hoteli ya Serena Shangani.

Meneja Masoko wa DTB Selvester Bahati akizungumza wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake  kujumuika na Wafanyakazi wa Benki hiyo Tawi la Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. 














Post a Comment

0 Comments