WANANCHI
wa Shehia 13 za Wilaya ya Chake Chake, ambao walipatwa na maafa ya nyumba zao
kuanguka katika Mvua zilizonyesha Kisiwani Pemba, wakiwa na magodoro yao baada
ya kukabidhiwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAATHIRIKA
wa Mvua zilizonyesha Kisiwani Pemba kutoka shehia 13 zilizomo ndani ya Wilaya
ya Chake Chake, wakipakia wakipakia magodori yao katika gari aina ya keri,
baada ya kukabidhwa misaada hiyo.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
HAKIKISHENI MRADI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA HAUSIMAMI - DKT MWIGULU
-
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi
wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa wakati ili uanze
kutoa hud...
2 hours ago




0 Comments