Mfanyakazi wa Idara yaUtunzaji Barabara akiwa katika harakati ya ukarabati wa barabara ya darajani Unguja baada ya kuathirika na mvua za masika zilizokuwa zikinyesha mwezi uliopiti na kusababisha uharibifu wa miundombinu hiyo ya barabara kuharibika kwa kiasi kikubwa.
DMDP II YALETA MAPINDUZI YA MIUNDOMBINU MANISPAA YA TEMEKE
-
Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (DMDP II)
unatekeleza ujenzi wa barabara zenye urefu wa Kilomita 51.2 kwa kiwango cha
lami na z...
44 minutes ago


0 Comments