Waziri wa Biashara , Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ,Amina Salim Ali, akikata utepe katika ufunguzi wa Banda la Karafuu huko katika shehia ya Mjimbini Pemba , lilijengwa na Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ( ZSTC) Pemba.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Amina Salim Ali, akikaguwa ujenzi wa banda la ununuzi wa Karafuu huko katika Shehia ya Mjimbini Pemba.
TUTAKUWA WAKALI- DKT AKWILAPO
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo
amesema watakuwa wakali kwa watumishi watakaokiuka tarati...
3 hours ago



0 Comments