Meneja wa Masoko na Uhusiano wa Wateja PBZ, Mussa Mvita akimkabidhi Seti ya Komputa na Mashine ya Foto Kopi Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Skuli ya Sekondari ya Nungwin Makame Sheha Mgasho, hafla hiyo ya makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa PBZ darajani Zanzibar.
Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya s...
2 hours ago
0 Comments