6/recent/ticker-posts

Wakaazi wa Wawi bado walalama na moshi, kiwanda cha makonyo


LICHA ya uongozi wa kiwanda cha makonyo kudai moshi unatoka kiatika kiwanda hicho hauna madhara na bomba yake kupandishwa juu, lakini bado wananchi wa Wawi na maeneo jirani, wamekuwa wakilalamikia moshi unaotoka katika kiwanda hicho kuwa unawasha unapoingia machoni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

Post a Comment

0 Comments