Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Mr. Salim M.Omar akikanusha tuhuma zilizotolewa na Jumuiya ya Vijana ya CUF dhidi yao za harakati zao za utoaji wa zawadi kwa Wanafunzi waliofanya vizuri Kidatu cha Sita Zanzibar. Walizo kabidhi na Taasisi ya Mimi na Wewe foundation kwa kushirikina na afisi ya mkoa wa Mjini Maghrib Zanzibar kuwa zilikuwa Shindikizo la kuwataka vijana na kuwalazimisha kuwapa kadi za Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Salim, akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi husika katika katika ukumbi wa Shirika la Bima Mpirani Zanzibar. Tuhuma hizo zilizo tolewa na Juvi cuf September 5 mwaka huu huko ofisini kwao vuga.
SHULE ZOTE ZA SERIKALI KUFIKIWA NA VITABU KABLA HAZIJAFUNGULIWA
-
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba
amesema, TET imejipanga kuhakikisha shule zote za Serikali zinafikiwa na
vitabu kabla h...
1 hour ago
1 Comments
siku zote maendeleo ni kujituma na kujitolea, wele wenye dhana ya kutka maendeleo bila kujituma nadhani watasubiri sana, tanaamini green light ni mkombozi wetu.
ReplyDelete