Habari za Punde

JAA KUBWA - SAATENI

MNAPAKUMBUKA MAHALI HAPA ? WADAU WANGU ENEO HILI LILIKUWA NI JAA KUBWA SAATENI NA SASA NI SEHEMU YA WAFANYABIASHARA WA JUA KALI DARAJANI NA WAUZA MITUMBA MLANDEGE LIKIWA KATIKA HALI NZURI YA BIASHARA KAMA LINAVYOONEKANA KATIKA PICHA LIKIWA NA WAFANYABIASHARA MBALIMBALI.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.