Habari za Punde

TUNAPOKEA HABARI NA MATUKIO

Assalaamu 'Alaykum Wadau
Kama ni miongoni mwa wanaotembelea blog hii, tunakaribisha na kupokea habari, maoni, picha na matukio kwa lengo la kuelimishana na kufikishiana ujumbe hasa yanayohusiana na nchi yetu ya Zanzibar. Ikiwa yametokea nchini na hata ughaibuni ambapo jamii ya wazanzibari ipo kuendeleza maisha.
Hii pia ni fursa kwa waandishi wanaochipukia na wengineo kuleta habari zao hapa ambazo zitaweza kuwapa fursa ya kuonekana kazi zao pamoja na kutolewa maoni na wadau kwa lengo la kuziboresha.
Tutahakikisha habari zinachapishwa baada ya kuhakikiwa kwamba si za kuleta uchafuzi wa hali ya hewa au zenye lugha isiyokubalika na waungwana.
Blog ni yetu sote kwa hivyo tushirikiane katika utandawazi huu kwa kunufaisha jamii na wazanzibari kwa ujumla.
Tutumie kwa barua pepe othmanmaulid@gmail.com
Mapara

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.