
Katika sherehe za kutimiza miaka kumi ya Mapinduzi 1974, Mwalimu Nyerere alikuwapo Zanzibar kufungua rasmi Televisheni Zanzibar TVZ ambapo kwa wakati huo ilikuwa ndiyo TV ya kwanza ya rangi Afrika Mashariki.
Pichani Ni Mkurugenzi wa TVZ Antony Mendis kulia kwa Mwalimu, Kamishna wa Polisi Zanzibar Edington Kissasi (Marehemu), Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe Mwinyi nyuma ya Mwalimu, Waziri Kiongozi Ramadhaan Haji Faki aliyevaa baraghashia na Shaaban Mloo (Marehemu) nyuma ya Mendis.
Amam kweli nilikuwa sijui kwamba Zenj angalau tuna historia kidogo ya kujivunia kwa siku hizo maana tulikuwa nchi ya kwanza katika Afrika nzima kuwa na TV ya rangi.
ReplyDeleteKwea mujibu wa wikipedia kumbe tuliwapita hata Spain ambao katika mwaka huo hawakuwa na TV ya Rangi. Yaa rait kama tungeliendeleza