Habari za Punde

WATOTO HUTUMIA MUDA WAO MWINGI KWA MICHEZO!

WATOTO wengi  hujishughulisha na michezo mbali ya huku na huku, lakini siku hizi kumejitokeza mchezo wa kutafuta Vyuma vichakavu  ili kuuza, kama mdao alivyowakuta watoto hawa wakiwa hawajali afya yao wakipekuwa katika moja ya jaa katika soko la Mwanakwerekwe  wakitafuta vyuma vichakavu ili kuuza kwa kilo moja huuzwa shillingi 150/= , Wazazi  inabidi kuchukuwa  hatua za makusudi kuwaelimisha watoto wao madhara ya mchezo bila ya kuzingatia Elimu  ni mkombozi wa Maisha yao.  .   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.