MFANYABIASHARA wa Madafu akiwa katika mzunguko wa kutafuta wateja wa bidhaa hiyo jana akiwa eneo la darajani, dafu moja huuza shillingi 500/=. (Picha na Othman Maulid)
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA SAMIA LEGAL AID YAJA KIVINGINE, SASA
KUTOKOMEZA KABISA MIGOGORO YA ARDHI
-
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha
SERIKALI imesema imejiandaa kutokomeza kabisa migogoro ya ardhi nchini
kupitia kampeni ya msaada wa kisheria ya Ma...
1 hour ago
0 Comments