SAGAMAWE la Mradi wa Barabara za Vijini Pemba likiwa kazini katika barabara ya Kenya - Chambani Wilaya ya Mkoani, inayosimamiwa kwa pamoja kupitia Serikali ya Norway na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
WAFANYAKAZI wa Mradi wa Barabara ya Kenya - Chambani Kisiwani Pemba Mkoa wa Kusini wakiwa kazini wakiweka kokoto zenya lami maalum inayotumiwa kwa ujenzi wa barabara hiyo inayojengwa kwa Msaada wa Serikali ya Norway na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
BARABARA ya Kenya - Chambani ikiwa sehemu kubwa tayari imeshawekwa lami hiyo na kuendelea na ujenzi wake.
No comments:
Post a Comment