NAHODHA wa timu ya Taifa ya Judo Zanzibar Haji Hassan akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Judo Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamad baada ya kuwasili Zanzibar wakitokea Dar-es Salaam.
WACHEZAJI wa timu ya Taifa ya Judo wwakimsikiliza Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo akitowa pongezi kwa kuibuka washindi kwa mchezo huo katika Nchi za Afrika Mashariki, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani.
WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Judo wakishangilia ubingwa wao walipowasili Zanzibar wakitokea Dar-es- Salaam, katika mashindano hayo.
No comments:
Post a Comment