Habari za Punde

BENKI YA KCB YAKABIDHI MISAADA KWA WATOTO YATIMA ZANZIBAR

MENEJA wa Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) Limited, Rajab Ramia akikabidhi msaada wa vyakula na mafuta kwa ajili ya yatima kwa Mwenyekiti wa a Jumuiya ya HUNAYN Zanzibar Salum Rajab, ambapo yatima 40 wamenufaika na msaada wa Idd Elfitri jana Zanzibar
WATOTO Yatima wa Jumuiya ya HUNAYN Zanzibar wakimsikiliza Mgeni rasmi hayupo pichani baada ya kukabidhiwa vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Idd Elfitri inayofanyika leo baada ya waumini wa Kiislamu kumaliza mfungo wa mwezi wa Ramadhan.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.