Mbunge mteule kutoka Baraza la Wawakiilishi Zanzibar, Mussa Khamis Silima ambaye alipata ajali majuzi katika eneo la Nzuguni Dodoma akiwa katika machela, Hospitali ya Muhimbili baada ya kushushwa kwenye gari akitokea Dodoma alikopata ajali ambapo mkewe Bi Mwanakheir Fahari alifariki.

Mbunge wa Mafia akiliangalia gari dogo alilopata ajali Mhe, Mbunge Mussa Khamis Silima jinsi lilivyoharibika baada ya ajali hiyo mbaya.

Picha kwa hisani ya Issa Michuzi blog
No comments:
Post a Comment