Habari za Punde

MAKADHI WA WILAYA WAAPISHWA

Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akimuapisha Mansab Khamis Omar kuwa kadhi wa Wilaya hafla hiyo ilifanyika huko Mahkama Kuu ya Zanzibar

Pichani ni Makadhi na ambao waliapishwa na Jaji Mkuu, Omar Othman Makungu ili kushika nafasi hizo katika Wilaya mbali mbali za Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa .

Picha zote na Hamad Hija, Maelezo, Zanzibar

1 comment:

  1. Mpaka teacher wangu wa dini wa enzi zile(Mustafa) ndani ya nyumba?.ah...hongera zake..!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.