Habari za Punde

DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania,Sinikka Antila,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Finland nchini Tanzania,Sinikka Antila,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.