Habari za Punde

MAISHA NA KUTAFUTA

MTEMBEZA Watalii katika Mjini wa Unguja akitowa maelezo kwa watalii hao wakitembelea soko la Darajani ni moja ya sehemu ya historia ya Zanzibar. Huu ni msimu mdogo wa Watalii ambao wengi hukimbia baridi Ulaya kuja mapumzikono sehemu za joto.

MFANYABIASHARA ya Midori akiwa na midori yake katika mitaa ya mji mkongwe akisubiri wateja wa bidhaa hiyo, mdori mmoja huuza shilingi 3500/=. Hizi ndizo njia za kujiajiri katika kusukuma mbele Gurudumul a maisha kwa mwananchi wa kawaida Visiwani kwahi hapa hapajali jua isipokuwa mvua huleta taabu kidogo.

Picha na Ali Othman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.