Habari za Punde

HARAKATI NA PIRIKA PIRIKA ZA MJINI UNGUJA


 Mji Mkongwe ni kivutio cha Wageni mbalimbali wanaotembela Visiwa vya Zanzibar na Vitongoji vyake, kama wanavyoonekana Watalii hawa wakitembelea sehemu za Historia za Unguja katika mitaa ya Mji Mkongwe.wakiongozana na mtembeza watalii akiwa mbele.  
 Msimu wa madoriani ukiwa umewadia katika mji wa Unguja, kama anavyoonekana Mfanyabiashara huyu wa matunda hayo akipanga bidhaa hiyo katika Marikiti ya Darajani, doriani moja linauzwa shilingi 6000/= kubwa na dogo 2500/=.
Wazazi wakijiandaa kununua mabuku kwa ajili ya Watoto wao kuazia masomo mwakani skuli zikifunguliwa, inabidi wazazi kufanya matayarisho mapema ili kutowa fursa kwa watoto kujiandaa na masomo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.