Habari za Punde

Dk Shein Aweka Jiwe la Msingi Nyumba ya Madaktari wa Norway

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi Hakim Bilal,alipofika chuoni hapo kuweka jiwe la msingi Nyumba ya madaktari wa Norway,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisoma maandishi ya jiwe la nyumba ya makatari baada ya kufungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba ya madakatari wa Norway, katika Chuo cha Sayansi ya Afya Mbweni,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,( kushoto) Waziri wa Afya wa Norway,Anne Crestrestom Erichsen

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Nyumba ya madaktari wa Norway Chuo cha Sayansi ya Afya Mbweni,ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.