Habari za Punde

Tanzania Wanaume Netiboli Yatwaa Ubingwa Kombe la Mapinduzi

 Mchezanji wa timu ya Taifa ya Tanzania Amir Muhidini (GS) akidaka mpira huku mchezaji wa timu ya Taifa ya Uganda Gabirye Jacob (GK)akijiandaa kumzuiya asilete madhara golini kwao katika mchezo wa fainali wa Mapinduzi Cup uliofanyika uwanja wa Gymkhana timu ya Tanzania imeshinda 45-35.
 Mchezaji wa timu ya Tanzania Mohammed Kassim(C) akiruka juu kudaka mpira katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi.
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Amir Muhidini (GS) akijiandaa kudaka mpira  

Kizaazaa golini kwa timu ya Uganda. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.