
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akionyeshwa kito kinachotengeneza Lulu ambayo hufanywa Pete na Katibu wa Kampuni ya Ukweli ni Njia Safi Bi Safia Hashim alipotembelea kikundi cha akina mama cha Bweleo Wilaya ya Magharibi Unguja wakati wa Ziara yake ya kuangalia Miradi ya Maendeleo ya[TASAF]inayofadhiliwa na Serikali ya Muungano
[Picha na Ali Meja}
No comments:
Post a Comment