Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa Mamboya akiwahutubia Wananchi wa Kisiwani Pemba katika siku ya Maadhimisho ya Uchangiaji Damu Duniani, ambayo kwenye maadhimisho ya kilele yaliofanyika katika Uwanja wa Gombani Pemba.
Naibu Waziri wa Afya Sira Ubwa Mamboya akimkabiodhi ngao ya uchangiajia Damu bora kwa hiari, Mwakilishi wa Chuo cha Kiislamu cha Micheweni Pemba, katika maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani ambapo kwa Zanzibar yalifanyika katika uwanja wa Gombani Pemba
Madaktari, Wananchi na Wanafunzi wakishiriki katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Uchangiaji Damu Duniani, wakiingia katika uwanja wa Gombani Pemba.
No comments:
Post a Comment