Habari za Punde

Jose Chameleone Awapagawisha Vijana wa Zanzibar Tamasha la ZIFF.

Msanii Jose Chamilion qakitowa burudani katika onesho la Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar lililofanyika katika Viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar, akilishambulia jukwaa kwa aina yake usiku.
Wapenzi wa Muziki Zanzibar  wakifuatilia onesho la Msani Jose Chamilion kutoka Uganda akitowa burudni wakati wa Tamasha la ZIFF.
Msanii Jose Chamilion akitowa mikono kwa wapemzi wake wakati wa onesho lake katika viwanja vya Ngome Kongwe Forodhani.
Jose Chamilion akiimba moja ya nyimbo inayopendwa na wpenzi wake
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika onesho la Msanii maarufu Jose Chamilion alipokuwa akifanya onesho lake katika Tamasha la ZIFF.
Mdau wa Muziki akizirudi ngoma za msanii Chamilion akiwa katika viwanja vya Mambo Club NgomeKongwe.  
Wasanii wa Kikundi cha TEEB & JEELES,kutoka Mji Mkongwe Zenj wakifanya vitu vyao wakati wa onesho lao katika Tamasha la ZIFF.
Mambo ya Vijana wa Mji Mkongwe hayoooooooooooooooo ya kubreki densi
Msanii wa kikundi cha TEEB&JEELS akionesho show jukwaani la ZIFF  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.