.Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa akikunjuwa Kitambaa kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati Unguja.ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa wapili kushoto akisalimiana na Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Ali mbarouk mara alipowasili katika ufunguzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa akibonyeza kitufe ili kufungua Mitambo ya Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati Unguja.ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa akitoa hotuba katika sherehe za ufunguzi wa Mitambo ya Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati Unguja.ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Said Ali mbarouk akitoa hotuba ya kumkaribisha Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Makame M,Mbarawa katika sherehe za ufunguzi wa Mitambo ya Matangazo ya Redio masafa ya kati(MIDIUM F)huko Bungi Wilaya ya Kati Unguja.
Picha na Yussuf Simai, Maelezo
UMUHIMU WA MALEZI BORA KWA WATOTO
-
Sajenti Emmanuel Kisiri ambae ni polisi kata wa kata ya Ikoma Wilaya ya
Serengeti Mkoani Mara ameendelea kuihimiza jamii kulinda maadili ya watoto
Akiendel...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment