Habari za Punde

Harakati Sokoni Mwanakwerekwe leo.

Wananchi wakiwa katika harakatiza kujipatia mahitaji mbalimbali katika soko la mwanakwerekwe Unguja, ambalo ni soko kubwa kwasasa na hupokea mazao mbalimbali kutoka Unguja na Pemba. Hufika sokoni hapo kwa mauzo ya Jumla na Rejareja kwa walaji.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.