Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Korea Kusini Kang Chang Hee,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Wapeni watoto wenu mlo wa asubuhi kabla ya kwenda shule
-
Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanawapatia watoto wenye umri wa
kwenda shule mlo wa asubuhi kabla hawajaenda shule. Rai hiyo imetolewa na
Mkurugenzi...
48 minutes ago

No comments:
Post a Comment