Habari za Punde

ZanziNews uso kwa uso na Bill Clinton

Mhe Waziri wa ZanziNews akisalimiana na Rais Mstaafu wa Marekani na Balozi wa Malaria Bill Clinton alipokuwa nchini kwa ziara ya kikazi katika uwanja wa Amaan

3 comments:

  1. mambo kidogo kidogo...mwisho utakunata na wakubwa wengine ! mbuyu ulikuwa kama mchicha....

    ReplyDelete
  2. Nimekua nikivutiwa sana na Zanzinews. Nimefarijika kumuona waziri wake, lakini napenda kufahamu zaidi juu ya blog hii nzuri iliyobeba jina adhimu Zanzibar.

    Mara nyingi huhisi blog hii imefanana na Vijimambo format layout.

    Good job. Hongera kwa kutupatia habari za Zanzibar na Tanzania.

    Haji R. Haji. Bellevue WA. USA.




    ReplyDelete
  3. Kaka hongera sana, mwanzo mzuri!!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.